Waalikwa & smart groups
Orodha kamili: ahadi, kilicholipwa, baki. Makundi ya automatic: wamelipa, sehemu, hawajalipa.
SMS kwa wingi
Tuma au panga SMS kwa makundi — NextSMS, Beem, NzuraSMS. Violezo vya Kiswahili.
Ripoti ya umma
Kiungo cha maendeleo. Mwalikwa anaweza ripoti malipo na ushahidi kama bado hajaonekana.
Wasimamizi & kamati
Super admin + admins wanashiriki picha moja. Kamati zinaona hali ya mchango.
Import Excel
Sampuli ya Excel, normalizesim namba 07… → 255… kiotomatiki.
Ripoti ya WhatsApp
Nakili ripoti iliyosasishwa tayari kuweka kwenye group.
Bei ya pekee (si package)
Harusi ina bei yake — haionekani kwenye packages za Marketing / Accounting / Nzura ONE. SMS inalipwa kwa credits zilizopo.
TSh 360,000 / mwaka
Malipo ni ya mwaka tu.