Connect Facebook, Instagram, LinkedIn, Threads, and WhatsApp in one dashboard. Schedule posts, manage your inbox, run campaigns, design with Canva, and capture leads into CRM — all without leaving Nzura.Unganisha Facebook, Instagram, LinkedIn, Threads, na WhatsApp katika dashibodi moja. Panga machapisho, simamia ujumbe, endesha kampeni, buni na Canva, na kamata wateja kwenye CRM — yote bila kuondoka Nzura.
A live look at the Social Media workspace your team will use every day.Mwonekano halisi wa eneo la kazi la Mitandao ya Kijamii timu yako itakayotumia kila siku.
Schedule posts to go live at the right time across Facebook, Instagram, LinkedIn, Threads, and WhatsApp. Track every publishing job so you know exactly what went out and when.Panga machapisho yachapishwe wakati unaofaa kwenye Facebook, Instagram, LinkedIn, Threads, na WhatsApp. Fuatilia kila kazi ya kuchapisha ili ujue nini kimetoka na lini.
Connect and manage Meta/Facebook, Instagram, LinkedIn, Threads, and WhatsApp from a single dashboard. Link accounts, monitor connection status, and manage access all in one place.Unganisha na usimamie Meta/Facebook, Instagram, LinkedIn, Threads, na WhatsApp kutoka dashibodi moja. Unganisha akaunti, fuatilia hali ya muunganisho, na usimamie ufikiaji mahali pamoja.
All your messages and DMs from connected platforms in one unified inbox. Reply to customers from Nzura without switching between apps. Never miss a conversation again.Ujumbe wako wote na DM kutoka majukwaa yaliyounganishwa kwenye kisanduku kimoja. Jibu wateja kutoka Nzura bila kubadilisha programu. Usikose mazungumzo tena.
Design visuals directly through Canva integration. Create graphics, export them, and attach to your scheduled posts — all without leaving Nzura. Upload and manage all your media content in one library.Buni picha moja kwa moja kupitia muunganisho wa Canva. Tengeneza michoro, ihamishie nje, na iambatanishe na machapisho yako — yote bila kuondoka Nzura. Pakia na usimamie media zako katika maktaba moja.
Organise posts into campaigns to track performance. View analytics snapshots and summaries across your connected platforms to understand what is working and refine your strategy.Panga machapisho katika kampeni ili kufuatilia utendaji. Angalia muhtasari na picha za uchambuzi kwenye majukwaa yako yaliyounganishwa ili kuelewa kinachofanya kazi.
Capture leads from social interactions directly into Nzura CRM. Use WhatsApp embedded signup to onboard customers and send messages — turning social engagement into real business conversations.Kamata wateja kutoka mwingiliano wa mitandao moja kwa moja kwenye Nzura CRM. Tumia WhatsApp kujiandikisha na kutuma ujumbe — kubadilisha ushirikiano wa mitandao kuwa mazungumzo ya biashara.
See your entire content strategy laid out on a visual calendar. Every platform, every post, every scheduled time — all in one view. Drag posts to reschedule. Click to edit. No more spreadsheets or sticky notes.Angalia mkakati wako wote wa maudhui uliowekwa kwenye kalenda ya kuona. Kila jukwaa, kila chapisho, kila wakati uliopangwa — yote katika mtazamo mmoja. Buruta machapisho kupanga upya.
See reach, engagement, and follower growth across all platforms in one dashboard. Identify your top-performing content. Understand your audience demographics and behaviour to make data-driven decisions.Angalia reach, ushirikiano, na ukuaji wa wafuasi kwenye majukwaa yote katika dashibodi moja. Tambua maudhui yako yanayofanya vizuri zaidi. Elewa demographics na tabia za hadhira yako.
Tell the AI your product, audience, and goal. Get ready-to-post captions, hashtags, and content ideas in both English and Swahili. Edit and publish — or let it post automatically on your schedule.Iambie AI bidhaa yako, hadhira, na lengo. Pata maelezo, hashtags, na mawazo ya maudhui tayari kuchapishwa kwa Kiingereza na Kiswahili. Hariri na uchapisha — au iache ichapishwe kiotomatiki.
Create your account in 60 seconds. No credit card required. 10-day free trial with all social features.Tengeneza akaunti yako ndani ya sekunde 60. Hakuna kadi ya benki. Majaribio ya siku 10 bure.
Link your Facebook, Instagram, and X accounts with one click each. Secure OAuth connection — we never see your passwords.Unganisha akaunti zako za Facebook, Instagram, na X kwa kubonyeza mara moja. Muunganisho salama wa OAuth — hatuoni nenosiri lako.
Write your post, choose platforms, set the time, and schedule. Or use AI to generate content for you. It's that simple.Andika chapisho lako, chagua majukwaa, weka wakati, na upange. Au tumia AI kuzalisha maudhui. Ni rahisi hivyo.
Monitor engagement, analyse what works, and let AI help you create better content over time. Watch your audience grow.Fuatilia ushirikiano, chambua kinachofanya kazi, na acha AI ikusaidie kutengeneza maudhui bora zaidi. Angalia hadhira yako inakua.
Social media data flows into CRM for customer insights. Track which social campaigns drive actual sales.Data ya mitandao ya kijamii inaingia CRM kwa ufahamu wa wateja. Fuatilia kampeni za mitandao zinazoendesha mauzo halisi.
We connect via official OAuth APIs. We never store your social media passwords. Revoke access anytime from your platform settings.Tunaunganisha kupitia API rasmi za OAuth. Hatuhifadhi nenosiri lako la mitandao. Ondoa ufikiaji wakati wowote kutoka mipangilio yako.
Data encrypted at rest and in transit. Servers in Tanzania. Full compliance with Personal Data Protection Act.Data imefichwa wakati wa kuhifadhi na kusafirisha. Servers ndani ya Tanzania. Utiifu kamili wa PDPA.
Control who can post, schedule, or only view analytics. Role-based access ensures the right people have the right permissions.Dhibiti nani anaweza kuchapisha, kupanga, au kuangalia uchambuzi tu. Ufikiaji wa kuzingatia jukumu unahakikisha watu sahihi wana ruhusa sahihi.
Set up approval chains for posts before they go live. Managers review and approve content — nothing gets published without sign-off.Weka minyororo ya idhini kwa machapisho kabla hayajachapishwa. Wasimamizi wanakagua na kuidhinisha maudhui — hakuna kinachochapishwa bila idhini.
Join Tanzanian businesses already managing social media with Nzura. Start free — no credit card required.Jiunge na biashara za Tanzania zinazosimamia mitandao na Nzura. Anza bure — hakuna kadi ya benki.