all connected in one systemzote zimeunganishwa katika mfumo mmoja
Pay only for what you use. No hidden fees, no billing surprises.Lipa kwa unayotumia tu. Hakuna ada zilizofichwa, hakuna mshangao wa bill ya mwezi.
Built for outreach, leads, and customer follow-up.Imeundwa kwa uhamasishaji, leads, na ufuatiliaji wa wateja.
Start Free Trial →Anza Majaribio Bure →The full cross-functional business operating system. Everything you need in one plan.Mfumo kamili wa biashara. Kila kitu unachohitaji kwenye mpango mmoja.
Start Free Trial →Anza Majaribio Bure →Core finance and operations stack for growing teams.Mfumo mkuu wa fedha na uendeshaji kwa timu zinazokua.
Start Free Trial →Anza Majaribio Bure →Built for SACCOs, MFIs, and cooperative lenders. Full loan lifecycle, KYC, PAR reporting, plus all Nzura business modules.Imeundwa kwa SACCOS, MFI, na taasisi za mikopo. Mzunguko wote wa mkopo, KYC, ripoti za PAR, na moduli zote za biashara.
Start Free Trial →Anza Majaribio Bure →Full hospitality operations — reservations, folios, housekeeping, room charges — plus every Nzura business module behind it.Uendeshaji kamili wa ukarimu — reservations, folio, housekeeping, room charges — pamoja na moduli zote za biashara.
Start Free Trial →Anza Majaribio Bure →All prices exclude applicable VAT. 10-day free trial on all plans. See full pricing details →Bei zote hazijumuishi VAT. Majaribio ya bure ya siku 10 kwa mipango yote. Angalia bei kamili →
Every app includes built-in AI assistance. Choose what you need — add more as you grow.Kila programu ina AI iliyojengwa ndani. Chagua unachohitaji — ongeza zaidi biashara yako inapokua.

Full double-entry accounting: P&L, balance sheet, journals, VAT returns, and real-time financial reports.Hesabu kamili: P&L, balance sheet, journals, VAT, na ripoti za fedha za wakati halisi.

Collect payments via AzamPay, Selcom, ClickPesa. Automated invoice reconciliation and payment tracking.Pokea malipo kupitia AzamPay, Selcom, ClickPesa. Ukaguzi wa ankara na malipo kiotomatiki.

Real-time stock tracking, low-stock alerts, serial numbers, and item movement reports.Fuatilia stoo kwa wakati halisi, arifa za stoo chini, serial numbers, na ripoti za harakati.

Purchase Orders, GRN, supplier management, and vendor portal — fully integrated with your accounts.Purchase Orders, GRN, usimamizi wa wasambazaji, na portal ya wauza iliyojumuishwa na hesabu zako.

Plan batches, issue materials, run QC, and close output from one flow. Built for factories, processors, and central kitchens.Panga batch, toa malighafi, fanya QC, na funga uzalishaji. Kwa viwanda, wasindikaji, na central kitchen.

Front desk, housekeeping, room charges, and revenue insights in one mobile-first flow. Built for hotels, lodges, and guesthouses.Front desk, housekeeping, room charges, na revenue insight. Kwa hotel, lodge, na guesthouse.

Track growers, field visits, harvest intake, and settlements with traceability. For agribusiness teams managing outgrower programs.Fuatilia wakulima, field visit, mapokezi ya mavuno, na settlement. Kwa agribusiness teams.

Customers, leads, sales pipeline, customer history, and relationship analytics in one place.Wateja, leads, pipeline ya mauzo, historia ya wateja, na uchambuzi wa mahusiano mahali pamoja.

PAYE, NSSF, WCF automatic calculations. Payslips via WhatsApp. Leave and allowance management.PAYE, NSSF, WCF kiotomatiki. Payslips kwa WhatsApp. Usimamizi wa likizo na posho.

BOT-compliant loan management: KYC, step-by-step approval, PAR tracking, and MSP reports.Mikopo inayoidhinishwa na BOT: KYC, idhini ya hatua kwa hatua, PAR tracking, na ripoti za MSP.

EFD fiscal receipts sent directly to TRA. Stay compliant effortlessly — avoid fines.Fiscal receipts za EFD zinazotumwa moja kwa moja kwa TRA. Epuka faini bila juhudi.

Online store, product catalog, orders, and payment collection — integrated with inventory and accounting.Duka la mtandaoni, bidhaa, oda, na ukusanyaji wa malipo — imeunganishwa na hifadhi na uhasibu.

Point of sale for retail and restaurants. Fast checkout, receipt printing, and real-time sales tracking.Mauzo ya rejareja na mikahawa. Malipo ya haraka, uchapishaji wa risiti, na ufuatiliaji wa mauzo.

Plan and publish to Facebook, Instagram, and X. Content calendar and performance analytics.Panga na chapisha kwa Facebook, Instagram, na X. Kalenda ya maudhui na uchambuzi.

Bulk SMS, WhatsApp reminders, and email using your own Next SMS or Beam account.SMS kwa wingi, ukumbusho wa WhatsApp, na barua pepe kupitia akaunti yako ya Next SMS au Beam.

AI financial advisor trained on Tanzanian law. Ask anything, get deep analysis, make smarter decisions.Mshauri wa AI wa fedha anayejua sheria za Tanzania. Uliza chochote, pata uchambuzi wa kina.

Customisable dashboards, deep financial and sales reports, real-time business performance.Dashboards zinazoweza kubadilishwa, ripoti za kina za fedha na mauzo, utendaji wa biashara.

Projects, tasks, and team collaboration. Track progress and manage employee time in one system.Miradi, kazi, na ushirikiano wa timu. Fuatilia maendeleo na simamia muda wa wafanyakazi.

Secure document storage, contracts, and legal files. Fast search and granular access control.Hifadhi nyaraka, mikataba, na faili za kisheria kwa usalama. Utafutaji wa haraka na udhibiti.
All 19 apps include built-in AI that learns your business patterns and helps you work smarter.Programu zote 19 zina AI iliyojengwa ndani inayojifunza mifumo ya biashara yako na kukusaidia kufanya kazi kwa akili zaidi.
Every feature is designed around Tanzanian regulations, language, and the unique challenges of doing business here.Kila kipengele kimefikiria biashara ya Tanzania — sheria zake, lugha yake, na changamoto zake za kipekee.
Your business accounts verified directly with the Tanzania Revenue Authority. EFD fiscal receipts, VAT returns, and real-time P&L — all automated so you stay legally compliant without the stress.Hesabu za biashara yako zinazothibitishwa moja kwa moja na Tanzania Revenue Authority. Fiscal receipts za EFD, VAT returns, na Profit & Loss ya wakati halisi — zote zimesimamishwa kiotomatiki.
A complete loan management system built to Bank of Tanzania requirements. Digital KYC, step-by-step approval, automatic PAR tracking, one-click MSP reports, and WhatsApp reminders for borrowers. Operate without audit anxiety.Mfumo kamili wa mikopo ulioundwa mahsusi kwa masharti ya Benki Kuu ya Tanzania. KYC ya kidijitali, idhini ya hatua kwa hatua, PAR tracking ya kiotomatiki, ripoti za MSP kwa kubonyeza moja.
PAYE, NSSF, and WCF handled automatically without a single error. Process payroll for 45 employees in under an hour. Send payslips via WhatsApp or email. Manage leave, allowances, and staff benefits with full legal compliance.PAYE, NSSF, na WCF zinashughulikiwa kiotomatiki bila kosa lolote. Mishahara ya wafanyakazi 45 inakamilika ndani ya saa moja. Tuma payslips kwa WhatsApp au barua pepe moja kwa moja.
We don't treat compliance as an afterthought. Nzura is built to Tanzanian regulations from the ground up — no bolt-ons, no year-end scrambles.Hatuchukui sheria kwa mzaha — Nzura imejengwa kulingana na kanuni za Tanzania kuanzia mwanzo. Hakuna ugawanyiko wa baadaye au marekebisho ya mwisho wa mwaka.
Direct EFD connection to Tanzania Revenue Authority. Fiscal receipts sent automatically for every transaction — no extra steps.Uunganisho wa moja kwa moja wa EFD na Tanzania Revenue Authority. Fiscal receipts zinazotumwa kiotomatiki kwa kila muamala.
MSP reports, loan KYC, all Bank of Tanzania requirements built into the system. Full audit trails for any BOT inspection.Ripoti za MSP, KYC ya mikopo, masharti yote ya Benki Kuu ya Tanzania yamewekwa ndani ya mfumo. Audit trails kamili kwa ukaguzi wowote wa BOT.
Automatic calculation of mandatory employer and employee contributions. Monthly reports compliant with NSSF and WCF Tanzania.Hesabu za kiotomatiki za michango ya lazima ya wafanyakazi na waajiri. Ripoti za mwezi zinazokubaliana na NSSF na WCF Tanzania.
Secure data storage compliant with Tanzania's Personal Data Protection Act. Your data stays in Tanzania — never sent abroad or to third parties.Uhifadhi salama wa data kulingana na Sheria ya Ulinzi wa Data ya Tanzania (PDPA). Data zako zinabaki ndani ya Tanzania — hazipelekwi nje ya nchi.
"TRA VFD used to give us headaches every month. With Nzura, receipts go automatically and we haven't worried about TRA compliance since we started.TRA VFD ilikuwa inatupa maumivu ya kichwa kila mwezi. Na Nzura, receipts zinaenda kiotomatiki na hatujawahi wasiwasi kuhusu utiifu wa TRA tangu tulipoanza."
"We process payroll for 38 staff in under 40 minutes now. PAYE, NSSF, WCF — done automatically. It used to take our accountant two full days.Tunashughulikia mishahara ya wafanyakazi 38 ndani ya dakika 40 sasa. PAYE, NSSF, WCF — kila kitu kinafanywa kiotomatiki. Ilimchukua mhasibu wetu siku mbili."
"BOT MSP reports used to take three days of manual work. Now I download a ready report in 5 minutes. Our last BOT inspection was the smoothest we've ever had.Ripoti za BOT za MSP zilichukua siku tatu za kazi ya mkono. Sasa napakua ripoti iliyoandaliwa ndani ya dakika 5. Ukaguzi wetu wa mwisho wa BOT ulikuwa laini zaidi tulioona."
Join 500+ Tanzanian businesses already on Nzura. Start free — no credit card required.Jiunge na biashara 500+ za Tanzania ambazo tayari ziko kwenye Nzura. Anza bure — hakuna kadi ya benki inayohitajika.