The agency command centre. Connect each client's ad accounts and social media pages, switch between clients in one click, launch and pace campaigns across Meta, Google, and X, capture leads straight into CRM, and report ROI per client — all from one Nzura dashboard.Kituo cha amri cha wakala. Unganisha akaunti za matangazo na kurasa za mitandao za kila mteja, badilisha kati ya wateja kwa kubonyeza mara moja, zindua na simamia kampeni kwenye Meta, Google na X, kamata wateja moja kwa moja kwenye CRM, na ripoti ROI kwa kila mteja — yote kutoka dashibodi moja ya Nzura.
Ads Manager is the heart of the Marketing Agency plan — TZS 275,000/month with 12 more apps: Social Media, Bulk SMS & CRM, Accounting, Inventory, POS, Payments, TRA/VFD, and the rest of the ops baseline to run the agency itself.Ads Manager ndiyo moyo wa mpango wa Marketing Agency — TZS 275,000/mwezi pamoja na programu 12 zaidi: Social Media, Bulk SMS & CRM, Uhasibu, Hifadhi, POS, Malipo, TRA/VFD, na msingi mzima wa kuendesha wakala wako.
See the Marketing Agency Plan →Angalia Mpango wa Marketing Agency →Add every client as a workspace, link their ad accounts and pages, and switch between them in one click. Campaigns, budgets, and reports stay cleanly scoped per client — no mixing, no mistakes.Ongeza kila mteja kama eneo la kazi, unganisha akaunti zao za matangazo na kurasa, na badilisha kati yao kwa kubonyeza mara moja. Kampeni, bajeti, na ripoti zinabaki kwa kila mteja — hakuna kuchanganya.
Create and publish campaigns to Facebook/Instagram, Google, and X from one composer. Targeting, creatives, budgets, and schedules — set once, run everywhere your client's audience is.Tengeneza na chapisha kampeni kwa Facebook/Instagram, Google, na X kutoka sehemu moja. Walengwa, michoro, bajeti, na ratiba — weka mara moja, endesha kila mahali hadhira ya mteja wako ilipo.
Paired with Nzura Social Media, manage every client's Facebook, Instagram, LinkedIn, Threads, and WhatsApp — posts, scheduling, and a unified inbox — under the same client switcher.Ikiunganishwa na Nzura Social Media, simamia Facebook, Instagram, LinkedIn, Threads, na WhatsApp ya kila mteja — machapisho, kupanga, na kisanduku kimoja — chini ya kibadilishaji kile kile cha mteja.
Set rules that pause under-performing ads, rebalance budgets, or alert your team — checked automatically every 30 minutes. Build campaign pipelines so every launch follows your agency's playbook.Weka sheria zinazositisha matangazo yasiyofanya vizuri, kurekebisha bajeti, au kuarifu timu yako — hukaguliwa kiotomatiki kila dakika 30. Jenga mitiririko ya kampeni ili kila uzinduzi ufuate mwongozo wa wakala wako.
Lead-gen campaigns feed captured contacts directly into Nzura CRM, linked to the right client. Follow up by SMS, WhatsApp, or email without exporting a single spreadsheet.Kampeni za kukusanya wateja zinaleta mawasiliano moja kwa moja kwenye Nzura CRM, zikiunganishwa na mteja sahihi. Fuatilia kwa SMS, WhatsApp, au barua pepe bila ku-export spreadsheet yoyote.
Spend, results, and cost-per-result per client and per network. Show every client exactly what their budget bought — and prove your agency's value at renewal time.Matumizi, matokeo, na gharama kwa kila tokeo kwa kila mteja na kila mtandao. Onyesha kila mteja bajeti yake ilinunua nini — na thibitisha thamani ya wakala wako wakati wa kuhuisha mkataba.
Sign up free in 60 seconds and pick the Marketing Agency plan — the only plan with Ads Manager. 10-day free trial, no credit card.Jiandikishe bure ndani ya sekunde 60 na uchague mpango wa Marketing Agency — mpango pekee wenye Ads Manager. Majaribio ya siku 10, hakuna kadi ya benki.
Create a workspace per client and connect their Meta, Google, and X ad accounts plus their social pages via secure OAuth.Tengeneza eneo la kazi kwa kila mteja na unganisha akaunti zao za matangazo za Meta, Google, na X pamoja na kurasa zao za mitandao kupitia OAuth salama.
Build the campaign once — audience, creative, budget — and publish to the networks you choose. Set automation rules to keep it on track.Jenga kampeni mara moja — hadhira, michoro, bajeti — na uchapishe kwenye mitandao unayochagua. Weka sheria za otomatiki ziisimamie.
Leads land in CRM, results land in per-client dashboards. Share ROI reports that win renewals and bigger budgets.Wateja wanaingia CRM, matokeo yanaingia kwenye dashibodi za kila mteja. Shiriki ripoti za ROI zinazoshinda mikataba mipya na bajeti kubwa zaidi.
Ad leads flow into CRM, CRM follow-ups go out via SMS and WhatsApp, and client billing runs through Nzura Accounting — the whole agency on one platform.Wateja wa matangazo wanaingia CRM, ufuatiliaji unatoka kwa SMS na WhatsApp, na bili za wateja zinapita Nzura Accounting — wakala mzima kwenye jukwaa moja.
We connect to Meta, Google, and X via official OAuth APIs. We never store client passwords. Revoke access anytime.Tunaunganisha Meta, Google, na X kupitia API rasmi za OAuth. Hatuhifadhi nenosiri za wateja. Ondoa ufikiaji wakati wowote.
Data encrypted at rest and in transit. Servers in Tanzania. Full compliance with the Personal Data Protection Act.Data imefichwa wakati wa kuhifadhi na kusafirisha. Servers ndani ya Tanzania. Utiifu kamili wa PDPA.
Every campaign, connection, lead, and report is scoped to its client workspace. One client can never see another's data.Kila kampeni, muunganisho, mteja-tarajiwa, na ripoti iko ndani ya eneo la mteja wake. Mteja mmoja hawezi kuona data ya mwingine kamwe.
Control who can launch campaigns, edit budgets, or only view reports. Role-based access for your whole agency team.Dhibiti nani anaweza kuzindua kampeni, kuhariri bajeti, au kuangalia ripoti tu. Ufikiaji wa kuzingatia jukumu kwa timu yote ya wakala.
Join Tanzanian agencies running client campaigns with Nzura. Start the Marketing Agency plan free — no credit card required.Jiunge na mawakala wa Tanzania wanaoendesha kampeni za wateja na Nzura. Anza mpango wa Marketing Agency bure — hakuna kadi ya benki.